Kelly Rowland aolewa kwa siri Costa Rica
Manager wa kundi la mziki la Destiny's Child bwana Tim Witherspoon amefunguka kua mwimbaji wa kundi hilo Kelly Rowland amefunga ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/kelly-rowland-aolewa-kwa-siri-costa-rica.html
Manager wa kundi la mziki la Destiny's Child bwana Tim Witherspoon amefunguka kua mwimbaji wa kundi hilo Kelly Rowland amefunga ndoa Costa Rica na boyfriend wake wa miaka mingi na wenzake walio kundi moja watakua huko kwa ajili ya kumpa support mtu wao wa nguvu.
Taarifa za wadakushi kutoka vyanzo vya uhakika zinasema kua tayari Beyonce na wenzake wameshafika Costa Rica kwa ajili ya harusi hiyo tangu wiki iliyopita.Hakuna taarifa zozote za Jay Z kuhudhuria katika tukio hilo na linaendeshwa kwa usiri mkubwa na kuwekwa mbali na vyombo vya habari
