JACK WOLPER AANGUKA UKUMBINI NGUO YA NDANI NJE!
Mbovumbovu za staa ! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/jack-wolper-aanguka-ukumbini-nguo-ya.html
Mbovumbovu za staa ! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao kata cha mwigizaji mwenzake, Vanita Omary . Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper Massawe baada ya kuanguka. Kwa mujibu wa ‘ shushushu’ wetu aliyekuwa ndani ya nyumba , tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa PG Hall ( zamani FM Club) ,
Kinondoni jijini Dar ambapo mastaa kibao walihudhuria .
Ndani ya kibao kata hicho, Wolper alicharuka
kipombepombe kwa kucheza ovyo na kukimbiakimbia akiwa tilalila . Katika kukimbia huko , ndipo akapiga mwereka na kuanguka huku akijaribu kusimama kwa kuchechemea. Baadhi ya wageni waalikwa walibaki
wakimshangaa na kusema kuwa hapendezi akinywa pombe kwani ustaarabu wote unapotea. Mbali na pombe pia alikuwa kivutio kwa staili ya ukataji wake wa mauno akiwa na kivazi kilichoacha nje mapaja yake akiwa na rafiki yake aliyetajwa kwa jina moja la Vivi. Katika hatua nyingine , Vanita alijikuta akiangua kilio baada ya wapiga ngoma wa kibao kata ‘ kuwa feki ’ na kushindwa kufanya kazi kama walivyoahidi. Mshereheshaji akimvaa Vanita. Kutokana na hilo, baadhi ya mastaa kama Aunt Ezekiel na Yobnesh Yusuf ‘ Batuli ’ waligoma kucheza na kukizomea kibao kata hicho ambacho kililetwa na MC ( jina linahifadhiwa) akidai kuwa amewatoa Bagamoyo na wana ufundi wa hali ya juu. Mwisho wa shughuli, MC huyo alimvaa Vanita akitaka alipwe pamoja na kwamba wapiga ngoma wa kibao kata hicho walishindwa kazi hivyo kukaibuka mtiti waaina yake huku kila mtu akitimua zake.


hahaaaa manina zake. ku2achia mkufuli ndo nini. buhahahahaaaaaaa
ReplyDeletemtoto wa kike kulewa mpk kujiaibisha ndio nini? aibuu
ReplyDeletehuyu si ndo msuka nywele za milion mbili! mxiiiiu hlf anavaa mchupi wa jero khaaa!mchupi mweusi no hygiene kabisa ni dalili ya uchafu!that's Y team inayojielewa wanakuita mnuka papuchi coz mchupi wako unajieleza!jitu zima hovyoooo huna haya na nywele zako za elfu saba!
ReplyDeleteMchupi wa jerojero buguruni manina zake
ReplyDeletenyie mnao msema isitoshe ndio chupi zenu zimetoboka kati au zina miukoko
DeleteChupi haiendani na we,nje wa being ndani wa jero,aibuuuu
ReplyDeletePombe c maji hahaha
ReplyDeleteHa ha ha ha
ReplyDelete