DISQUS SHORTNAME

JACK WOLPER AANGUKA UKUMBINI NGUO YA NDANI NJE!

Mbovumbovu za staa ! Staa wa sinema za  Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe  anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye...


Mbovumbovu za staa ! Staa wa sinema za  Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe  anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao kata cha mwigizaji mwenzake, Vanita Omary . Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper Massawe baada ya kuanguka. Kwa mujibu wa ‘ shushushu’ wetu aliyekuwa ndani ya nyumba , tukio hilo lilijiri kwenye  Ukumbi wa PG Hall ( zamani FM Club) ,
Kinondoni jijini Dar ambapo mastaa kibao walihudhuria . 
Ndani ya kibao kata hicho, Wolper alicharuka
kipombepombe kwa kucheza ovyo na kukimbiakimbia akiwa tilalila .  Katika kukimbia huko , ndipo akapiga mwereka na kuanguka huku akijaribu kusimama kwa  kuchechemea.  Baadhi ya wageni waalikwa walibaki
wakimshangaa na kusema kuwa hapendezi akinywa pombe kwani ustaarabu wote  unapotea. Mbali na pombe pia alikuwa kivutio kwa staili  ya ukataji wake wa mauno akiwa na kivazi kilichoacha nje mapaja yake akiwa na rafiki yake aliyetajwa kwa jina moja la Vivi.  Katika hatua nyingine , Vanita alijikuta akiangua kilio baada ya wapiga ngoma wa kibao kata ‘ kuwa feki ’ na kushindwa kufanya kazi kama walivyoahidi. Mshereheshaji akimvaa Vanita. Kutokana na hilo, baadhi ya mastaa kama  Aunt Ezekiel na Yobnesh Yusuf ‘ Batuli ’ waligoma kucheza na kukizomea kibao kata  hicho ambacho kililetwa na MC ( jina  linahifadhiwa) akidai kuwa amewatoa Bagamoyo na wana ufundi wa hali ya juu. Mwisho wa shughuli, MC huyo alimvaa  Vanita akitaka alipwe pamoja na kwamba  wapiga ngoma wa kibao kata hicho walishindwa kazi hivyo kukaibuka mtiti waaina yake huku kila mtu akitimua zake.

Related

BONGO MOVIE 3279160413551835273

Post a Comment

  1. hahaaaa manina zake. ku2achia mkufuli ndo nini. buhahahahaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. mtoto wa kike kulewa mpk kujiaibisha ndio nini? aibuu

    ReplyDelete
  3. huyu si ndo msuka nywele za milion mbili! mxiiiiu hlf anavaa mchupi wa jero khaaa!mchupi mweusi no hygiene kabisa ni dalili ya uchafu!that's Y team inayojielewa wanakuita mnuka papuchi coz mchupi wako unajieleza!jitu zima hovyoooo huna haya na nywele zako za elfu saba!

    ReplyDelete
  4. Mchupi wa jerojero buguruni manina zake

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyie mnao msema isitoshe ndio chupi zenu zimetoboka kati au zina miukoko

      Delete
  5. Chupi haiendani na we,nje wa being ndani wa jero,aibuuuu

    ReplyDelete
  6. Pombe c maji hahaha

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item