DISQUS SHORTNAME

BATULI : SIJAWAHI KUPENDAKAMA MTUNIS

KWA mara nyingine , staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘ Batuli ’ amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama...


KWA mara nyingine , staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘ Batuli ’ amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama alivyompenda Nice Mohammed ‘ Mtunis ’ . Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni , Batuli alisema licha ya kuwa walimwagana na staa huyo lakini hatokuja kupenda
mwanaume kama alivyompenda Mtunis .
“Nilivyompenda Mtunis ni ngumu sana kumpenda mwanaume mwingine kama hivyona kwa kawaida kupenda huwa ni mara moja tu mengine tutadanganyana, ” alisema Batuli .Hivi karibuni Batuli aliripotiwa kutikisa ndoa ya Mtunis ikidaiwa kuwa bado ana uhusiano
naye lakini cha ajabu mtoto wa kike hakuonesha dalili zozote za kukanusha taarifa hizo .

Related

BONGO MOVIE 7598730882810899036

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item