DISQUS SHORTNAME

CATHY ATANGAZA VITA NAMASTAA

MSANII mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘ Cathy ’ amefunguka hatokaa karibu na mastaa wa kike , badala yake atakuwa na ...


MSANII mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘ Cathy ’ amefunguka hatokaa karibu na mastaa wa kike , badala yake atakuwa na marafiki wa kiume .
Akipiga stori na paparazi wetu, Cathy alisema
ameamua kubadili mfumo wa maisha na amejiweka pembeni na haitaji urafiki na wasanii wa kike kwani kazi yao kubwa ni kupiga majungu . “Wasanii wa kike wana majungu sana, ndiyo maana marafiki zangu wengi ni wanaume na mume wangu anawafahamu kwani hawa wasichana wamekalia kuzungumza umbea tu , sihitaji kabisa urafiki na wasichana kwa sasawala sijichanganyi nao labda iwe ishu
maalum sana, ” alisema Cathy .

Related

BONGO MOVIE 1205172679710756622

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item