DISQUS SHORTNAME

AUNT EZEKIEL AKUTANA USO KWA USO NA MBAYA WAKE ALIYEMCHANA NA CHUPA MKONONI

MSANII wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chupa ...

MSANII wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chupa mkononi na kesi hiyo inaendelea katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Msanii wa filamu za Kibongo , Aunt Ezekiel akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , Dar .
Aunty alisema hayo juzi Jumatatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam mbele ya hakimu Agustina Mbando, akikanusha taarifa ya wadhamini wa Ivon , Christopher Mwaseba na Anthon Mwaseba walioiambia mahakama kuwa mtuhumiwa alikuwa nyumbani akimuuguza
mama yake . Ivon Bigilwa aliyemchana Aunt kwa chupa. Msanii huyo alisema wadhamini hao
wanaidanganya mahakama kwa kuwa hivi karibuni alikuwa nchini China na aligongana naye uso kwa uso.
Kutokana na hilo, Hakimu Mbando aliwaonya wadhamini hao kwa kuidanganya mahakama
na kuwataka wampeleke mtuhumiwa huyo mbele ya mahakama hiyo Juni 10 , mwaka huu.

Related

HABARI YA MJINI 5539650557722037126

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item