DISQUS SHORTNAME

Anti Lulu: "Najuta Kumvulia NguoAmani, Sikujua Kama ana WivuMkubwa Kiasi Hiki"

MSANII wa filamu Bongo,Lulu Semagongo  'Aunty Lulu' anadai kuwa anajuta kumvulia  nguo mwandani wake aliyemtaja kwa jina la Amani...


MSANII wa filamu Bongo,Lulu Semagongo  'Aunty Lulu' anadai kuwa anajuta kumvulia  nguo mwandani wake aliyemtaja kwa jina la Amani ambaye hivi karibuni alimshushia  kipigo kikali baada ya kutaka kwenda
kujirusha usiku kwenye kumbi za starehe.... Akizungumza na Mpekuzi wetu,Aunty Lulu alisema katika siku ya tukio ni kweli alitaka kwenda kupata raha mwenyewe kwenye moja ya klabu za starehe usiku na alimpa taarifa jamaa yake huyo lakini akamgomea  kwenda kwani alihisi angeenda kumsaliti..
Msanii huyo aliendelea kusema kuwa jamaa yake huyo ana wivu balaa na hilo limekuwa  likimpa shida kwani wakati mwingine  anashindwa kuongea na wanaume ambao mpenzi wake hawafahamu maana huwa  anahisi ni hawala zake.... "Najuta kumpa penzi Amani kwani sikujua ana wivu mkubwa kiasi hiki,hataki kunipa  uhuru wa kwenda kujirusha kama ilivyokuwa siku za awali.Si kweli kwaba nikienda kwenye kumbi za starehe naweza kumsaliti kwani binafsi huwa sipendi kuchanganya wanaume"Alisema msanii huyo.

Related

BONGO MOVIE 7208921952315118991

Post a Comment

  1. kufirana ndio fashen yako.Amani ulimwonjesha tigo lazima awe na wivu

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item