DISQUS SHORTNAME

Msanii Keysha HatimayeAmejifungua Mtoto Wa PiliAmbaye Ni Wakiume, TazamaPicha Za Mtoto Huyo Na MamaYake.

Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya  nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’  amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu...


Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya  nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’  amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu  (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi
Kinondoni. Akizungumza na Bongo5 leo Keisha,amesema  anashukuru Mungu amejifungua salama na
mtoto anaendelea vizuri. “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount
Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea
vizuri,” amesema.

Related

BONGO FLAVA 7849469114728352582

Post a Comment

  1. waaooh!hongera dada keisha.Binadamu wote ni sawa chek mtt alivyo handsome.Watakubali tu..

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item