Msanii Keysha HatimayeAmejifungua Mtoto Wa PiliAmbaye Ni Wakiume, TazamaPicha Za Mtoto Huyo Na MamaYake.
Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/msanii-keysha-hatimaye-amejifungua.html
Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi
Kinondoni. Akizungumza na Bongo5 leo Keisha,amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na
mtoto anaendelea vizuri. “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount
Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea
vizuri,” amesema.


waaooh!hongera dada keisha.Binadamu wote ni sawa chek mtt alivyo handsome.Watakubali tu..
ReplyDelete