Picha Za Nicki Minaj Kwenye Jarida La V,Jibu Lake Kwa Walioponda Video Ya Anakonda.
Rapper wa Young Money amezungumzia video yake ya Anakonda kupondwa na watu na kusema waliyoikosoa hawana haki ya kufanya hivyo, Kwenye i...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/11/picha-za-nicki-minaj-kwenye-jarida-la.html

Rapper wa Young Money amezungumzia video yake ya Anakonda kupondwa na watu na kusema waliyoikosoa hawana haki ya kufanya hivyo, Kwenye interview na jarida la V mina anasema....
"Kama mwanaume angefanya nilichofanya kwenye Anaconda hakuna ambaye angekosoa, watu wanaacha kuongelea show zinazotukuza ngono kama victoria secret na show zingine zinazoonyesha nguo za ndani ila wananiponda mimi naye fanya hiphop"




