DISQUS SHORTNAME

Huyu Star Ameripotiwa Kuwa Mpenzi Wa Mtoto Wa 'Arnold Schwarzenegger' Patrick Schwarzenegger.

Msanii Miley Cyrus ameripotiwa kuanzisha mahusiano na mtoto wa mwigizaji maarufu duniani 'Arnold Schwarzenegger' Patrick Schwarzen...


Msanii Miley Cyrus ameripotiwa kuanzisha mahusiano na mtoto wa mwigizaji maarufu duniani 'Arnold Schwarzenegger' Patrick Schwarzenegger.

Miley na Patrick wote wanamiaka 21 wameonekana kwenye sehemu tofauti za starehe na ata kusheherekea Halloween pamoja. Kabla Patrick hajaanza kutoka na Miley, alikuwa na msanii wa muziki wa Country Taylor Swift.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item