DISQUS SHORTNAME

MZIWANDA AJITETEA KUDUNDWA NA SHILOLE

MWANAMUZIKI  wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa  watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed...


MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa  watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini ukweli si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.
“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa raha zetu,” alisema Shilole.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item