DISQUS SHORTNAME

JOHARI: SITAKI KUSIKIA HABARI ZA CHUCHU

STAA  wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wak...

STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’.

Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’.

Akikitemea cheche kinasa sauti cha paparazi wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na hatma ya malumbano yao ya mara kwa mara na Chuchu, Johari alisema hataki kumzungumzia mwanadada huyo kwani anampaisha bure.

Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans.

“Nimeamua nikae kimya kabisa wala sitaki kuzozana na mtu nitajishushia hadhi kwa mashabiki wangu bure, siwezi kuwa namnufaisha mtu kwa kumpandisha daraja kupitia mgongo wangu kutokana na malumbano,” alisema Johari.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item