Breaking News:Mama mzazi wambunge Zitto Kabwe amefariki dunia.
Ni taarifa nilizopta asubuhi ya June 1 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe Bi.Shida,taratibu zingine bad...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/06/breakingmama-mzazi-wa-mbunge-zitto.html
Ni taarifa nilizopta asubuhi ya June 1 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe Bi.Shida,taratibu zingine bado hazijatangazwa lakini chochote kinachoendele nitakua nakufahamisha kupitia hapa.
GOSSIP COURT inampa pole Zitto Kabwe kwa kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mama,Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.

