MASANJA AWATOLEA UVIVU WANAOMSEMA KWANINI HAWEKI PICHA ZA MISIBA INSTAGRAM
Baada ya watu kumsema masanja kwanini hapost japo kutoa pole ya msiba badala yake anapost picha za mapozi,masanja ambaye sasahivi yupo ula...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/masanja-awatolea-uvivu-wanaomsema.html
Baada ya watu kumsema masanja kwanini hapost japo kutoa pole ya msiba badala yake anapost picha za mapozi,masanja ambaye sasahivi yupo ulaya aliweka status hii kama kujibu mapigo:
Naona kuna watu wanahoji mbona siweki picha ya Misiba Inayotokea. JIBU
MAISHA NI MIPANGO NA MAAMUZI NILIAMUA SITAWEKA PICHA YA MSIBA WOWOTE ISTAGRAM KWA MAANA HAISAIDII CHOCHOTE, NILIFIWA NA DADA YANGU NA MDOGO WANGU WA MWISHO NA SIJAWAHI WEKA INSTA.
NACHOJUA NI KWAMBA YANAPOTOKEA HAYA NI KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO,TENA SIO KUMSHUKURIA INSTA UNAMSHUKURU MOYONI WAKO.
SO NIWAOMBE MLIOKUWA MNASUBIRI NIPOST SITAPOST NG'O!! NA KWA TAARIFA MSIBA WA ADAM NILIKUWEPO LIDAZ NA MCHANGO NIKATOA LKN SIKUWEKA PICHA ISTAGRAM.
SO HUWA SIONGOZWI NA WATU KUFANYA KITU.
NA NILIACHAGA BAADA YA KWENDA KWENDA KWENYE MSIBA WA NGWEA MORO NIKAWEKA PICHA RAIA WAKAANZA OOOOH UNAUZA SURA. MALA MBONA SURA HAINA MAJONZI HEE SA MNATAKA NIJIUMBE MWENYE SURA YA MAJONZI ILI NIMKOSOE MUNGU ALIYENIUMBA HANDSOME JAMANI??? NEVER SITAWEKA PICHA ZA HIVYOOO INSTA .
HAPA NI MACHAPIII YA UNAITEDI MPAKA NAVYORUDI NIKAWAPE POLE WAFIWA.
NADHANI KAMA ULINIFOLOOOOOO KUPATA UPDATE ZA MISIBA. U BETTER GO TO HELL
ETI KIOO CHA JAMIII(kwa ku bana pua moja na kidole) KIOO CHA JAMII CHA BABAKOOO. ... #ChekilihotubaKamaLaMheshimiwaRais#
#HarafuNimeliwekaKwaHerufiKubwaa#
#UsichezeNaMimiKwenyeExplanesheniiiii#
#HahahahaaaNaonagaCommentZaPichaZaMisibaUtasikiaSaAmewekajeKopeMsibaniAmevaajeMiwaniAmefyokofyokomsibaniYaanWaliofeliLifeWanashidaaaaa#
#KumbukaNaongozwaNaRoho#
#Over#

Hahaaaaa
ReplyDeleteHahahhahahaha point blank.
ReplyDeleteAsante sn kaka umemaliza kila ki2 sina chakusema na umenifurahsha sn..kuweka au kutoweka picha IG haina maana hujaguswa na msiba.
ReplyDeleteHahahhh
ReplyDeleteKabisaaa umenifurahisha sana...wanaoongozwa na Roho huwa hawababaishwi
ReplyDelete