DISQUS SHORTNAME

AUDIO: SIKILIZA MUME WA FLORA MBASHA AKIKIRI NA KUOMBA MSAMAHA KWA TUHUMA ZA UBAKAJI

Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo amba...

Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo ambayo imezua gumzo mtaani kwa kile kinachofikiriwa kua imepoteza uaminifu kutokana na jamii inavyoichukulia ,kua ni familia yenye hofu kubwa ya Mungu,lakini jamii imesahau kua hawa ni binadamu 100% kuna kuanguka ,tunaomba maoni yako unasemaje juu ya hili

Related

AIBU 3200633771807103844

Post a Comment

  1. mmh zengwe hiliii

    ReplyDelete
  2. uyu bwana flora kamuokota wapi? mbona hajielewi ckia vile anaongea lol aibuuuuuu! peleka police uyo jamaa wee kosa la kubaka unaona dogo eeehh

    ReplyDelete
  3. hahahaha kazidi kuumbuka mweee! karikodiwa umezidi , yani flora kama utabaki naye huyu jamaa daaah hii ni aibu ati!!

    ReplyDelete
  4. Tena hana adabu anaomba au analazimisha msamaha! Kwa masimango juu ya vi elf kumi vyake kwani na huyo mtoto nae si alikua anasaidia kazi za nyumbani kama binti yao, so malipo ndo kubakwa. Mbasha aadhibiwe kama ipasavyo asilete maneno yasiyo na kichwa wala miguu na segerea muhimu!

    ReplyDelete
  5. bora katubu mengine police watajua chakufanya

    ReplyDelete
  6. Kwaiyo huyu jamaa anakiri kubaka? Simuelewii maneno mengii..

    ReplyDelete
  7. Duuuuh jmn watu tumrudie mungu...yaaan ni aibu sna sna kwa wale sngle boys n galz muangalie watu wakuoa na kuolewa yaan huyu amemtia aibu sna frola daaah

    ReplyDelete
  8. Daaah! Umasikini mbaya!! Kwahiyo hapo nimeelewa kwa vile unawasaidia kuanzia dada mtu kuhusu kazi an huyo mdogo mtu ndio uwe kama mnyama unatomba tu, yani kama jogoo au mbuzi dahh huyo hataacha hiyo tabia

    ReplyDelete
  9. Mbasha ni mwehu kawasaidia shemeji Zake, ili awanyanyase kijinsia, msamaha gani anaomba huku akihesabu yale aliyo watendea shemeji zake, kwa hiyo anakiri kabaka!! Umechemka kaka make up ur mind!

    ReplyDelete
  10. eebwana hii kali huyu jaamaa inamaana kabaka

    ReplyDelete
  11. Jamaa senge kweli, ngoja mwanao abakwe ndio uongee. Hili ni la lockup aibu kwa wanaume, uchi wake likamwoneshe mama yake stupid.

    ReplyDelete
  12. usifurahi kuanguka kwa mwenzako, alichokifanya ni kibaya machoni pa watu wote, na machoni pa Mungu, kama wewe tu ulivyofanya jana, leo, ama utakavyofanya kesho,
    ole wako wewe unaechochea kusambaa kwa uovu uletao uharibifu, maana hata wewe utafanywa kuni kuchochea moto kama makapi,hakuna kosa kubwa wala dogo, wakosaji wote ni mamoja na sehemu yao inajulikana

    ReplyDelete
  13. usifurahi kuanguka kwa mwenzako, alichokifanya ni kibaya machoni pa watu wote, na machoni pa Mungu, kama wewe tu ulivyofanya jana, leo, ama utakavyofanya kesho,
    ole wako wewe unaechochea kusambaa kwa uovu uletao uharibifu, maana hata wewe utafanywa kuni kuchochea moto kama makapi,hakuna kosa kubwa wala dogo, wakosaji wote ni mamoja na sehemu yao inajulikana

    ReplyDelete
  14. We pascal hezron peleka mahubiri yako ya kinafiki nyumbani kwako. Angekuwa moto wako kabakwa si haba ungekuwa umesha mdedisha huyo mbwa.

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item