AUDIO: SIKILIZA MUME WA FLORA MBASHA AKIKIRI NA KUOMBA MSAMAHA KWA TUHUMA ZA UBAKAJI
Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo amba...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/06/audio-sikiliza-mume-wa-flora-mbasha.html
Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo ambayo imezua gumzo mtaani kwa kile kinachofikiriwa kua imepoteza uaminifu kutokana na jamii inavyoichukulia ,kua ni familia yenye hofu kubwa ya Mungu,lakini jamii imesahau kua hawa ni binadamu 100% kuna kuanguka ,tunaomba maoni yako unasemaje juu ya hili


mmh zengwe hiliii
ReplyDeleteuyu bwana flora kamuokota wapi? mbona hajielewi ckia vile anaongea lol aibuuuuuu! peleka police uyo jamaa wee kosa la kubaka unaona dogo eeehh
ReplyDeletehahahaha kazidi kuumbuka mweee! karikodiwa umezidi , yani flora kama utabaki naye huyu jamaa daaah hii ni aibu ati!!
ReplyDeleteTena hana adabu anaomba au analazimisha msamaha! Kwa masimango juu ya vi elf kumi vyake kwani na huyo mtoto nae si alikua anasaidia kazi za nyumbani kama binti yao, so malipo ndo kubakwa. Mbasha aadhibiwe kama ipasavyo asilete maneno yasiyo na kichwa wala miguu na segerea muhimu!
ReplyDeletebora katubu mengine police watajua chakufanya
ReplyDeleteKwaiyo huyu jamaa anakiri kubaka? Simuelewii maneno mengii..
ReplyDeleteDuuuuh jmn watu tumrudie mungu...yaaan ni aibu sna sna kwa wale sngle boys n galz muangalie watu wakuoa na kuolewa yaan huyu amemtia aibu sna frola daaah
ReplyDeleteDaaah! Umasikini mbaya!! Kwahiyo hapo nimeelewa kwa vile unawasaidia kuanzia dada mtu kuhusu kazi an huyo mdogo mtu ndio uwe kama mnyama unatomba tu, yani kama jogoo au mbuzi dahh huyo hataacha hiyo tabia
ReplyDeleteMbasha ni mwehu kawasaidia shemeji Zake, ili awanyanyase kijinsia, msamaha gani anaomba huku akihesabu yale aliyo watendea shemeji zake, kwa hiyo anakiri kabaka!! Umechemka kaka make up ur mind!
ReplyDeleteeebwana hii kali huyu jaamaa inamaana kabaka
ReplyDeleteJamaa senge kweli, ngoja mwanao abakwe ndio uongee. Hili ni la lockup aibu kwa wanaume, uchi wake likamwoneshe mama yake stupid.
ReplyDeleteStupid. Kabaka
ReplyDeleteusifurahi kuanguka kwa mwenzako, alichokifanya ni kibaya machoni pa watu wote, na machoni pa Mungu, kama wewe tu ulivyofanya jana, leo, ama utakavyofanya kesho,
ReplyDeleteole wako wewe unaechochea kusambaa kwa uovu uletao uharibifu, maana hata wewe utafanywa kuni kuchochea moto kama makapi,hakuna kosa kubwa wala dogo, wakosaji wote ni mamoja na sehemu yao inajulikana
usifurahi kuanguka kwa mwenzako, alichokifanya ni kibaya machoni pa watu wote, na machoni pa Mungu, kama wewe tu ulivyofanya jana, leo, ama utakavyofanya kesho,
ReplyDeleteole wako wewe unaechochea kusambaa kwa uovu uletao uharibifu, maana hata wewe utafanywa kuni kuchochea moto kama makapi,hakuna kosa kubwa wala dogo, wakosaji wote ni mamoja na sehemu yao inajulikana
We pascal hezron peleka mahubiri yako ya kinafiki nyumbani kwako. Angekuwa moto wako kabakwa si haba ungekuwa umesha mdedisha huyo mbwa.
ReplyDelete