WOLPER : NIMECHOKA KUTUKANWA KILA KUKICHA
MOYO unauma! Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo, Jacqu...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/wolper-nimechoka-kutukanwa-kila-kukicha.html
MOYO unauma! Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka na kudai kwamba amechoka kutukanwa kila kukicha lakini pamoja na hayo yote hatingishiki kwa lolote .
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper Massawe . Habari zilieleza kuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram, Wolper amekuwa akitukanwa kila kukicha huku tetesi zikizagaa mtaani kwamba mwanadada huyo ni msagaji. Matusi hayo yalikwenda mbele zaidi na kudai kuwa kutokana na tabia yake ya usagaji ndiyo maana hataki kumweka hadharani mwanaume wake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi
iliyopita, Wolper alisema kuwa ni kweli amechoka lakini anawaachia nafasi watu wanaomchafua kwenye mitandao na hatishiki kwa lolote kwani maneno yao siyo ya kweli na kamwe hatamtangaza mpenzi wake kama ilivyokuwa zamani .“Watukane sana, waseme mimi ni mwanaume lakini mimi ninatambua ninachokifanya, wakichoka wataacha . Kamwe sipo tayari kumweka mwanaume wangu kwenye vyombo
vya habari, unajua kwenye mitandao kuna uchonganishi mwingi sana na mtu usipokuwa makini utajikuta ukimchukia mtu bila sababu kutokana na watu kuwa na mitazamo mbalimbali , ” alisema Wolper .


tutakutukana hadi unaingiakaburini hata ukiwa kwenye jeneza tutakutukana upo hapo mnuka uchi msagaji uliyebobea
ReplyDeletekashawahi kukusaga istoshe mkikaa ww na yeye ww uchi wako ndio unanuka kama mbwa alo kufa big up wolper elimu ya mjinga ni majungu wajinga wote hao wanaongee kuumiza makoo ww unaingiza pesa kiroho safi
Deletehili senge nn. ss mbna gee model alimtangaza kuma mbichi huyu. na matusi bado yanaendelea
ReplyDeleteUwiiii wolper unalo hilo limekuganda
ReplyDeletemie nakutukana tena wolper papuchi yako inanuka kama shombo la feli phhuuuuuu
ReplyDelete