DISQUS SHORTNAME

Witness (Wakilisha) na Ochuwanatarajia kupata mtoto

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Witness ambae  yupo kwenye mahusiano na msanii mwenzake  Ochu Cheggy amesema kuwa ni mjamzito na anatarajia ...


Msanii wa muziki wa Hip Hop, Witness ambae  yupo kwenye mahusiano na msanii mwenzake  Ochu Cheggy amesema kuwa ni mjamzito na anatarajia kupata mtoto wa pili. Akizungumza na Enewz ya EATV leo kuhusu muziki wake na mahusiano yake, Witness, amesema yupo kwenye mahusiano na Ochu na anatarajia kupata mtoto hivi karibuni.
“Were doing music together as Ochuness, so huyo ni mchanganyiko wa Witness na Ochu. Tupo pamoja kwa muda mrefu na mahusiano yetu yatazaa mtoto,nina mimba,” alisema Witness Witness amesema kuwa, hawana haraka na mpango wa kuhalalisha mahusiano yao katika
kuingia katika ndoa, na wanafanya kila kitu taratibu kwa kuzingatia usemi wa mambo mazuri  hayataki haraka. Pia Witness amewataka wadau wa muziki kukaa mkao wa kula kwani anatarajia kuachia wimbo ambao utaelezea mahusiano yao na mambo mengine.

Related

BONGO FLAVA 932146159074351545

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item