WEMA,DIAMOND NA HALIMA KIMWANA...
JAMBO limezua jambo . Pamoja na kuanza kwa kishindo safari yake ya kuelekea Afrika Kusini ‘ Sauz ’ kwa ajili ya fainali za kuwania Tuzo z...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/wemadiamond-na-halima-kimwana.html
JAMBO limezua jambo . Pamoja na kuanza
kwa kishindo safari yake ya kuelekea Afrika
Kusini ‘ Sauz ’ kwa ajili ya fainali za kuwania
Tuzo za MTV Africa ( MAMA ) , mwanamuziki
Nasibu Abdul ‘ Diamond Platnumz ’ na baby
wake, Wema Isaac Sepetu wamechafua hali
ya hewa , Ijumaa Wikienda lilikuwa
linarandaranda ndani ya nyumba .
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz
' akijidai ' ndani ya ukumbi wa Club
Billicanas .
Pamoja na kufanya makamuzi ya kufa mtu
kwenye shoo ya kuwatambulisha wasanii
wanaowania tuzo hizo kwenye Ukumbi wa
Bilicanas uliopo Posta, Dar , Diamond
hakumpandisha Wema stejini kama kawaida
yake, jambo lililozua kizaazaa .
Kuna muda mashabiki wake walipiga kelele
wakimtaka Wema apande stejini lakini
hakufanya hivyo .
Awali Diamond alipanda stejini mishale ya
saa 8: 00 akipishwa na msanii kutoka Sauz ,
Jigger ambaye alikuwepo kwa ajili ya kutoa
sapoti kwa Mbongo Fleva huyo.
Wema Sepetu akihojiwa na mmoja ya
watangazaji katika ukumbi wa Billicanas .
Msauz huyo alifanya shoo ya dakika 20 kisha
akampisha Diamond ambaye aliingia na
Kibao cha Uswazi Take Away Remix ,
ambacho ndani yake amemfagilia Halima
Haroun ‘ Kimwana ’ ambaye ni hasimu wa
mpenzi wake, Wema .
Baada ya kumaliza wimbo huo ndipo baadhi
ya mashabiki wakasikika wakimwambia
Diamond ampandishe Wema la sivyo
watakinukisha.
Diamond akigonga shoo.
Ishu hiyo iliendelea hadi jamaa aliposhuka
stejini hapo .
Wakati Diamond akiendelea kufanya
makamuzi yake hayo, Wema na Halima
Kimwana wote walikuwepo ukumbini hapo na
kwa bahati nzuri kama si mbaya walijikuta
wote wakimshangilia Diamond , tena wakiwa
VIP ya juu ambapo walikuwa wakiingia watu
maalum.
Mwanahabari wetu aliwashuhudia wawili hao
walipogeukiana kila mmoja alionekana
kumwekea mwenzake uso wa mbuzi .
Nyomi ya kufa mtu.
Hali hiyo ilidumu hadi Diamond alipomaliza
shoo yake na Wema kushuka na kumuacha
Halima Kimwana .
Baada ya shughuli za shoo Diamond alibaki
na Halima Kimwana wakicheza disco .
Kufuatia hali hiyo kwenye mitandao ya
kijamii usiku huohuo , kuliibuka maneno
mengi kutoka kila upande kuwa shoo ya
Diamond ilichafuliwa na Wema na Halima
Kimwana ambaye alidaiwa alijipanga kwenda
kumfanyia fujo Wema kwa kuwa yupo upande
wa Penniel Mungilwa ‘ Penny’ .
kwa kishindo safari yake ya kuelekea Afrika
Kusini ‘ Sauz ’ kwa ajili ya fainali za kuwania
Tuzo za MTV Africa ( MAMA ) , mwanamuziki
Nasibu Abdul ‘ Diamond Platnumz ’ na baby
wake, Wema Isaac Sepetu wamechafua hali
ya hewa , Ijumaa Wikienda lilikuwa
linarandaranda ndani ya nyumba .
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz
' akijidai ' ndani ya ukumbi wa Club
Billicanas .
Pamoja na kufanya makamuzi ya kufa mtu
kwenye shoo ya kuwatambulisha wasanii
wanaowania tuzo hizo kwenye Ukumbi wa
Bilicanas uliopo Posta, Dar , Diamond
hakumpandisha Wema stejini kama kawaida
yake, jambo lililozua kizaazaa .
Kuna muda mashabiki wake walipiga kelele
wakimtaka Wema apande stejini lakini
hakufanya hivyo .
Awali Diamond alipanda stejini mishale ya
saa 8: 00 akipishwa na msanii kutoka Sauz ,
Jigger ambaye alikuwepo kwa ajili ya kutoa
sapoti kwa Mbongo Fleva huyo.
Wema Sepetu akihojiwa na mmoja ya
watangazaji katika ukumbi wa Billicanas .
Msauz huyo alifanya shoo ya dakika 20 kisha
akampisha Diamond ambaye aliingia na
Kibao cha Uswazi Take Away Remix ,
ambacho ndani yake amemfagilia Halima
Haroun ‘ Kimwana ’ ambaye ni hasimu wa
mpenzi wake, Wema .
Baada ya kumaliza wimbo huo ndipo baadhi
ya mashabiki wakasikika wakimwambia
Diamond ampandishe Wema la sivyo
watakinukisha.
Diamond akigonga shoo.
Ishu hiyo iliendelea hadi jamaa aliposhuka
stejini hapo .
Wakati Diamond akiendelea kufanya
makamuzi yake hayo, Wema na Halima
Kimwana wote walikuwepo ukumbini hapo na
kwa bahati nzuri kama si mbaya walijikuta
wote wakimshangilia Diamond , tena wakiwa
VIP ya juu ambapo walikuwa wakiingia watu
maalum.
Mwanahabari wetu aliwashuhudia wawili hao
walipogeukiana kila mmoja alionekana
kumwekea mwenzake uso wa mbuzi .
Nyomi ya kufa mtu.
Hali hiyo ilidumu hadi Diamond alipomaliza
shoo yake na Wema kushuka na kumuacha
Halima Kimwana .
Baada ya shughuli za shoo Diamond alibaki
na Halima Kimwana wakicheza disco .
Kufuatia hali hiyo kwenye mitandao ya
kijamii usiku huohuo , kuliibuka maneno
mengi kutoka kila upande kuwa shoo ya
Diamond ilichafuliwa na Wema na Halima
Kimwana ambaye alidaiwa alijipanga kwenda
kumfanyia fujo Wema kwa kuwa yupo upande
wa Penniel Mungilwa ‘ Penny’ .

cna uhakika n hii habar n hao global. ila i ril ril hate halimakipengo. y diamond anampaisha hivyo. aaaaagh ds ril spoiled my mood
ReplyDeleteHihiiiii lol ok
ReplyDeleteFUCK YOU GLOBAL PUBLISHERS....STORY UCHWARA AINA KICHWA WALA MIGUU...STORY YENU AIJAKAMILIKA KAMA MAPENGO YA HALIMA KIMWANA
ReplyDeletesasa kama Halima yeye ni dada tu anaumia nn diamond akiwa na wema?? anatk diamond amuoe yeye?? ama je huo udada wa hiari aliopta bado haridhiki nao?? kwa mfn wema ndo dai amuoe unafikiri yeye atakuwa in which place?? awe anafikiria mamabo km hy
ReplyDeleteHalima hana akili timam. Kwanza c ndugu wa tumbo moja na dangote. Amuache wema aenjoy na mume wake. Halima anaboa
ReplyDeleteWapuuzii nyie halima kimwan n huyo rfik wa penny global publisher
ReplyDeleteHalima kipengo is a witch. Kama nae anamtaka diamond kiaina. STUPIDO
ReplyDeleteKutukata steam tu apa!!!!!!!!!!!!
Halimamapengo anamtaka diamond lakini diamond hawezi lala nilijitu chafuchafu kama halimamapengo mnuka kuma mishavu kama mimba ya panya
ReplyDeleteMbona halima alishatombwa na Dai mara kibao??Hamtaki wema coz anajua wema anammaliza dai xo ye haambulii ata busu
DeleteMi natamani na kujua hili kuhusu dai kumla halima kimwana plz mwenye blog minadhani wakati mwingine muwe mnapanga dai kwa uzuri tu atie akili haiwezekani huyu dai kila kukicha amfagilie halima fanyia kazi hili km kuna ukweli tumpange wema apumuwe maana too much undugu wenyewe wakukutana kwenye tenga body mix xx mbona Isma katulia na ndiyo wameshea mama
ReplyDelete