DISQUS SHORTNAME

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Olmert jela kwa miaka sita..kisa?..soma hapa

Mahakama moja nchini Israel imempa kifungo  cha miaka sita jela aliyekuwa waziri mkuu nchini  Israel Ehud Olmert kwa kosa la kupokea hong...


Mahakama moja nchini Israel imempa kifungo  cha miaka sita jela aliyekuwa waziri mkuu nchini  Israel Ehud Olmert kwa kosa la kupokea hongo.  Bwana Olmert alipatikana na hatia mwezi machi katika kile kilichojulikana kama 'swala la eneo takatifu' ambapo hongo ilitolewa ili kuharakisha  ujenzi wa majumba ya kifahari mjini Jerusalem.
Kiongozi huyo alikuwa ameondolewa mashitaka  katika kesi tofauti zilizokuwa zikimkabili. Mashitaka yaliomkabili yalitekelezwa wakati  Olmert alipokuwa meya wa mji wa Jerusalem na
baadaye akiwa waziri wa serikali. Ehud Olmert alimrithi Ariel Sharon kama waziri  mkuu mnamo mwaka 2006 baada ya Sharon kuugua ugonjwa wa kiharusi.  Alijiuzulu mnamo mwaka 2008.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 1397426159449345075

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item