DISQUS SHORTNAME

Video ya Jay Z akishambuliwa na Solange kwenye lift ilinunuliwa na TMZ kwa $250,000! Aliyeivujisha atimuliwa kazi

The Standard Hotel lilipotokea tukio la dada wa  Beyonce, Solange Knowles kumpiga Jay Z kwenye lift imembaini mfanyakazi aliyevujisha...


The Standard Hotel lilipotokea tukio la dada wa  Beyonce, Solange Knowles kumpiga Jay Z kwenye
lift imembaini mfanyakazi aliyevujisha CCTV video  ya tukio hilo, lililotokea May 5 na kumchukulia
hatua ya kumtimua kazi kwa kukiuka sera ya usalama wa hotel hiyo. 
May 12, TMZ ilipost video ya dakika tatu iliyomuonesha Solange akimshambulia shemeji yake Jigga huku akizuiwa na mlinzi na Beyonce akiwa pembeni akitazama kinachoendelea. Baada ya video hiyo kusambaa uongozi wa hotel hiyo ulisema unachunguza swala hilo. Kwa mujibu wa Page Six, inasemekana video hiyo iliuzwa kwa TMZ kwa $250,000 ambazo sasa zimemtokea puani mfanyakazi huyo kwa kupoteza kibarua chake.

Related

KWINGINEKO DUNIANI 9093556044814808731

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item