ARUSHA WAANDAA SHOW YA UTAMADUNI, WADANGANYA WEMA SEPETU ATAKUWEPO,MENEJA WA WEMA M.KANDINDA AFUNGUKA
Huko arusha kuna watu wameandaa onyesho la utamaduni na wakasema wema sepetu atakuwepo...meneja wa wema sepetu afunguka kama ifuatavyo: T...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/arusha-waandaa-show-ya-utamaduni.html
Huko arusha kuna watu wameandaa onyesho la utamaduni na wakasema wema sepetu atakuwepo...meneja wa wema sepetu afunguka kama ifuatavyo:
To all Wema sepetu's fans in Arusha.... tumesikitishwa na matangazo yanayoendelea mjini Arusha kuhusu uwepo wa wema sepetu katika show ya utamaduni..... endless fame management hatuna makubaliano yoyote na waandaaji hao hivyo wema hatakuwepo katika any of these days zilizotangazwa katika poster hiyo hapo juu.
Hatua za kisheria zimechukuliwa Kwa wahusika Kwa matumizi mabaya ya jina la msanii wema sepetu na hii itakuwa fundisho Kwa wote wanaotumia majina ya wasanii kudanganya uma au kujiingizia kipato Kwa njia zisizo halali. Cc @wemasepetu @petitman_wakuache @endlessfame @bestizzo @tinydaddy