DISQUS SHORTNAME

VANESSA MDEE BAADA YA KUSHINDA TUZO ZA KILI AWACHA LIVE MAHASIDI WAKE

Mwadada anayefanya vizuri katika music industry Vanesa Mdee ambaye siku ya tarehe 3 may mwaka huu ilikuwa siku ya historia katika mzuiki ...

Mwadada anayefanya vizuri katika music industry Vanesa Mdee ambaye siku ya tarehe 3 may mwaka huu
ilikuwa siku ya historia katika mzuiki baada ya kupata tuzo ya Wimbo bora wa R & B kupitia wimbo wake wa ‘Closer’ na kuwamwaga wasanii wengine kama Lady Jay Dee, Maua na wengine.
Baada ya kupata tuzo alisema, ”Namshukuru Mungu kwa kunitendea leo ni siku ya historia kwangu kiukweli.Nakumbuka wakati naanza kuimba niliambiwa naimba kizungu sana Watanzania hawatanielewa na napoteza muda wangu,lakini leo mashabiki wangu wameonyesha kuwa muziki mzuri ndiyo unapewa nafasi na siyo staili ya muziki ya msanii anaofanya.Asante Mungu mashabiki na waandaji”. alimalizia kwa kulia.

Related

BONGO FLAVA 61963617113747283

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item