DISQUS SHORTNAME

Unafahamu kwanini Jaguar waKenya hakuja kwenye tuzo zaKILI juzi?

Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashar...


Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa na watu wengine kama Jose ChameleoneImefahamika kwamba Jaguar alikataa kuja kwenye tuzo za Kili 2014 alizokua nominated baada ya waandaaji kushindwa kufikia masharti aliyowapa na badala yake akaamua kwenda kuhudhuria
harusi ya producer wa DNA aitwae Refigah. Jaguar alitaka atumiwe ticket ya ndege ya business class, alitaka achukuliwe chumba kwenye hoteli ya nyota tano, apewe ulinzi popote atakapokwenda na vilevile apewe gari zuri la kifahari la kutembelea. Kwenye sharti jingine Jaguar alitoa option kwa
waandaaji na kuwaambia kama wangeshindwa kumpa ticket ya ndege basi walipaswa kuweka mafuta ili aje na ndege yake ndogo anayomiliki.
Chameleone, Wyre, Amani, Ay, Mtangazaji William Tuva, shabiki Daudi wa Kota na Dj wa Chameleone juzi Dar es salaam.Alipohojiwa na ghafla.co.ke Jaguar alisema asingeweza
kuhudhuria tukio ambalo asingepewa heshima aliyoitaka kama ambavyo huwa anaipata anapokwenda kwenye nchi nyingine katika matukio kama haya ndio maana ilikua bora ahudhurie harusi na kuongeza kwamba ‘nitahudhuria iwapo wataanza kuwa-treat vizuri wasanii wa Kenya’ Tuzo za KILI 2014 zilihudhuriwa na mastaa wawili wa Kenya ambao ni Wyre na Amani huku Uganda ikiwakilishwa na Jose Chameleone ambae ndio alitangazwa mshindi kwenye kipengele cha Afrika Mashariki.

Related

BONGO FLAVA 7547497827919711646

Post a Comment

  1. Dat's y i luv u my Jaguar,sio kina Diamond wanapelekwa pelekwa tu magari mabovu mtu ana kipaji n yupo top now lakini wala hajali thamani yake

    ReplyDelete
  2. Jamaa anajitambua kawapa live bila chenga

    ReplyDelete
  3. Ushuzi tu kulewa sifa, haya lala na heshima yako tuone kama utafika mbali mfyuuu

    ReplyDelete
  4. nimempenda bure ndo maana wenzetu wanaendelea cyo kupelekwapelekwa tu.

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item