DISQUS SHORTNAME

UPDATES: LEO NDIO HARUSI YAKANYE WEST NA KIMKARDASHIAN.......

DONDOO ZA AWALI: Ndoa itafungwa kesho mjini PARIS, UFARANSA ila PATI litafanyika mjini Florence huko ITALY. Inasemekana ni zaidi ya watu ...


DONDOO ZA AWALI: Ndoa itafungwa kesho mjini PARIS, UFARANSA ila PATI litafanyika mjini Florence huko ITALY. Inasemekana ni zaidi ya watu 3000 wamealikwa...Jay Z ndio inasemekana atakuwa ndio BEST MAN...na atahudhulia akiwa na mkewe Beyonce.
JUZI NA JANA
Juz Kama uliMIS juzi Kim Kardashia alifanya part ya kuuanga ubashela akiwa na ndugu zake pamoja
na marafiki huko Paris PATA PICHA ZOTE HAPA Jana Polisi nchini Italy wamelazimika kuongeza ulizi
zaidi kwakufunga mitambo zaidi kwenye jumba ambapo PATI hili la kimataifa litafanyika.....

Jumba ambalo PATI itafanyika...lilijengwa Karne ya 16 (HATARI SANA) hvyo imewabidi watu wamaandalizi kufanya marekibisho flaniflani..... Leo Kim Kardashian amepost picha INSTAGRAM HII... Bila shaka itakuwa Sehemu watakapofungia ndoa...
STAY CONNECTED KWA UPDATE ZOTE
Ikiwa LEO ndio siku ya waili hawa, Kanye (36) na Kim (33) kufungandoa huko mjini PARIS...Hii ni Report maalumu kuhusiana na maadalizi na kile kinachoendelea hivi sasa katika miji ya PARIS, Ufaransa na Florence, Italy...Kumbuka hii ni ndoa ya Mastaa wakubwa mno hapa DUNIA.....Kunamengi utayajua
hapa...STAY CONNECTED!!

Related

KWINGINEKO DUNIANI 1315207330103235174

Post a Comment

  1. thewhitedovepocahontas63May 24, 2014 at 12:25 PM

    Kamandaa usisahau kutupia hizo picha maana I can't wait kwa kweli

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item