STEVE NYERERE NA JB WAZICHAPA!...JB APIGWA MATEKE!
Msanii Jb Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Jakob Steven Jb na Steve Magele Nyerere wamepiga nguvu kavukavu karibu na ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/steve-nyerere-na-jb-wazichapajb-apigwa.html
Msanii Jb
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua
wasanii Jakob Steven Jb na Steve Magele
Nyerere wamepiga nguvu kavukavu karibu na
eneo la msiba wamarehemu Adam Kuambiana
huko Bunju huku kisa kikiwa kugeukana kwenye
dili la matangazo.
Habari za uhakika zilizotua mezani kwa
Maskanibongotz zilisema kuwa msanii steve
nyerere ndiye aliyeanza kumchokoza msanii Jb
kwa kumchana baada yakumgeuka kwenye
mchongo wa matangazo ya kampuni moja ya
simu iliyopo maeneo ya Moroco Jijini Dar.
Habari zaidi zilisema wakati wasanii hao
wakiwa baa wanakula kijala siku moja kabla ya
mazishi ya msanii mwenzao Steve alimvamia Jb
na kuanza kumchana na kumueleza jinsi
alivyokuwa na roho mbaya kwa kumgeuka
kwenye mchongo wa mtangazo ya simu pale
Moroco na kusema ndiyo maana anaroho
mbaya.
Majibizano hayo yalidumu kwa muda mrefu
sana huku Jb akiwa kimya kwani
stevualionekana kuumizwa na jambo hilo kwani
inadaiwa zile picha za Jb kwenye mabango ya
mtandao huo wa simu mchongo alipewa na
steve lakini baadae Jb alimgeuka na kwenda
kupiga mchongo kimaya kimya na kumuacha
Steve akishangaa.
Hata hivyo Steve aliendelea kusasambua Jb
mbele ya watu hali hiyo ilimfanya Jb
kunyanyuka na kuanza kufokea nae huku
akimtahadharisha kama atamfinyangafinya na
ufupi wake ndipo steve nyerere aliyekuwa
ameshika chupa ya kilaji aliruka kichwa kimoja
kilichompiga Jb kifuani na kupepesuka.
Msanii Steve Nyerere
Wakati watu akijianda kwenda kuamulia basi
Steve ambae aliwahi kucheza ngumi miaka ya
nyuma alimshindilia Jb ngumi kama tisa za
harakaharaka sehemu ya tumbo iliyomfanya Jb
kudondoka chini na kushindwa kupumua kwa
dakika tano kisha alinyanyuka na kukalia kiti.
Tuliwasiliana na wasanii hao ili kupata ukweli
wa mambo lakini kwa bahati mbaya simu zao
hazikupekelewa na bado tunawatafuta.
SOURCE: Blogu ya wananchi