DISQUS SHORTNAME

SOMA ALICHOPOST WEMA SEPETU INSTAGRAM BAADA YA SAKATA LA MESSAGE ZA KAJALA


Related

BONGO MOVIE 3350834507945631159

Post a Comment

  1. Hajajifunza bado huyu, si kaamia kwa aunt, tatizo what goes around comes around, kwani na yeye alikuwaga mwizi tu wa mabwana, kama alisamehewa na yeye asamehe saba mara sabini, kwani katika dunia hii hakuna aliye kamili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tena aunt atafanya marudio tu, coz alishaonja dudu ya dangote, yaani atabeba full package, mambo ya bongo movie kushare mabwana tu.

      Delete
  2. Mfyuuuuu, utadhani yeye msafi vile, kakosea wangapi, alishamwomba dada ake msamaha kutembea na mumewe? mbona hawaongei, mla kala nani

    ReplyDelete
  3. Just lv her. Sorry lv forget abt the past lets focus on Future. Lv u n dangote

    ReplyDelete
  4. ndio kajala kakosea...... but haimaanish wema n msaf sana. ye mwenyewe mbwa tu sema she is in love with kaboy but n yeye maisha yake n ya kudanga vile vle

    ReplyDelete
  5. Wema mim naona ungeachana na hz mambo za kajala upo na dai hayo mengn piga kimya kimya unavopost hv inaonesha bado una ishu na ck kaa kimya ndo vzur kajala ajione mjinga ww angalia ut lyf na marafik mbona una madada weng kua karbu nao hao wenzako wanafik

    ReplyDelete
  6. wapi mmeona wema kalalamika kuhusu kajala?ndio wema ana mabaya yake lakini kunatofauti huyo kajala io wakulala na bwana wa wema hata siku moja watu wanalalamika coz wema alikuwa ni rafiki wa kajala zaidi ya rafiki iweje alale na bwana ambaye ashatembea na wema?kwanza kumamayoo zenu mwacheni wema asha move on na life yake kajala endelea mwaka huu ukimwi utakunyemelea mbwa wewe

    ReplyDelete
  7. wema hajawahi kulala na mume wa dada yake acheni uongo ila the fact ni kwamba alipoenda marekani alitoka na mtu alietembeaga na dada yake but hakuwa mume kama mnavokuza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyooooo, sasa hii ina tofauti gani na kajala, nyani haoni kundule, yeye atembee na mabwana hadi wa dada zake ila kajala ndio aonekane kafanya dhambi, malipo ni hapa hapa duniani. tena dada ni mbaya zaidi yeye ni dada zake, halioni hata aibu kukasirika

      Delete
  8. Hakujua km huyo mtu alishatoka na dada yake na alipofahamu alim'bwaga palepale hivyo Wema sio wa hivyo mnavyodhani...Kajala amekosea acheni kumtetea na Wema hajalalamika kokote bali fans wake ndio wanao complain hivyo mumuache

    ReplyDelete
  9. Hv ninyi mnaolalamika mnataka wema awamiliki wote maana hamueleweki kwanza wema amshukuru kajala, au yupo na dangote kwa maigizo, wema yupo na mtu wake atulie nae,

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item