T.I.D azama Chumvini, ajiandaa kurudi na Girlfriend Part 2
Msanii mkongwe wa RnB wa kizazi TID ametangaza ujio wake mpya baada ya ukimwa wa mda mrefu bila kutoa album ambapo album yake ya mwisho a...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/tid-azama-chumvini-ajiandaa-kurudi-na.html
Msanii mkongwe wa RnB wa kizazi TID ametangaza ujio wake mpya baada ya ukimwa wa mda mrefu bila kutoa album ambapo album yake ya mwisho alitoa mwaka 2008,akizungumza na kipindi cha Bongo Flava kinachorushwa na kituo cha radio cha Clouds fm TID alisema ujio wake huu mpya wa single ya Chumvini unaashiria ujio mpya wa album yake nyingine tangu 2008,"Kweli nimekua kimya kwa mda mrefu hii ni kutokana na kuangalia upande mwingine wa band yetu ya Top in Dar lakini pia nilikua najipanga upya kwani sasa hivi gem
u limechenji sana sio kama zamani zile" Alisema TID
Tunategemea kuona mambo makubwa zaidi kutoka kwako TID watanzania wako tayari kukupokea kwa mara nyingine tena.


