DISQUS SHORTNAME

SIKILIZA AUDIO KUHUSU UWOYA NA MSAMI DANCER WA THT

Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami. Kwa mujibu wa mahojiano kati ya mpenzi...


Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami. Kwa mujibu wa mahojiano kati ya mpenzi wa Msami aitwaye Rehema na Soudy Brown wa U Heard, Irene ndiye aliyependa (kumtongoza) kuwa na Msami licha ya kufahamu kuwa tayari ana mpenzi mwingine. Msami na Irene Uwoya Rehema amesema kilichomfanya Msami akubali kuwa ‘Serengeti’ wa Uwoya ni kwakuwa amekuwa akiwezeshwa fedha zinazomweka mjini. Rehema amesema Msami amekuwa kwenye uhusiano na
Uwoya ni tamaa za kuwa na maisha mazuri. “Ni tamaa tu za vijana, si unajua tena ukiwa bado hujatoka. Wanashawishika na tamaa ya hela ili apate kutoka na ajulikane,” amesema Rehema.

Related

BONGO MOVIE 3930515329084877127

Post a Comment

  1. dah!!! audio iko wapi sasa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. We huoni audio hapo juu?au simu kimeo?

      Delete
  2. Duh noma sanaaa

    ReplyDelete
  3. manager,manager my ass kumbe watoa uroda mxiuuuuuu yaani wolper na uwoya kazi kutembea na mabwana za watu tu

    ReplyDelete
  4. Rehema mwenye mAlaya ANAtembea nA suleiman wa ilala

    ReplyDelete
  5. Yan watu bwana. .hakunaga bwana wa mtu.ila kuna mume na mke wa mtu tu.na nukta nakuwekea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mume wa mtu akiwa kwako akitoka nje si wako ni wa wote!

      Delete
    2. Mswadakta swahiba, mume WA mtu my ass nyoooo..... Mkishasema wamtu wamtu na wengine tupate nn

      Delete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item