DISQUS SHORTNAME

SIJAWAHI KULALA NA TINY -MAYWEATHER

Bondia Floyd Mayweather akifunguka katika mahojiano na necolebitchie .com . BONDIA Floyd Mayweather amefunguka kuwa hajawahi kulala na mp...


Bondia Floyd Mayweather akifunguka katika mahojiano na necolebitchie .com . BONDIA Floyd Mayweather amefunguka kuwa hajawahi kulala na mpenzi wa rappa T .I aitwaye Tiny .
Mayweather ameyasema hayo ikiwa ni siku chache tangu ugomvi kati ya kundi lake na T. I utokee kisa kikitajwa kuwa ni uhusiano wa kimapenzi kati ya bondia huyo na Tiny . Katika mahojiano na mtandao wa necolebitchie. com, Floyd amesema hajawahi kulala na Tiny . “Sijawahi kumbusu wala kumgusa Tiny katika mazingira yenye utata . Rafiki yake aitwaye Shekinah alihitaji kuja kwenye pambano na akaja na Tiny. Hivyo walikuja kushuhudia mpambano, ” alisema Floyd. Tiny alitupia picha yake , Shekinah , Floyd na wengine kwenye mtandao wa Instagram ambayo Floyd anaamini ndiyo iliyoleta kizaazaa .

Related

KWINGINEKO DUNIANI 6652928652423774192

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item