SHILOLE AUKANA UTANZANIA ASEMA YEYE MWARABU WA MASCUT
Katika hali inayoshangaza msanii maarufu wa Bongo movie na Mziki wa mduara na Bongo Flava Shilole aka Shishi baby amesema yeye ni mwarabu wa...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/shilole-aukana-utanzania-asema-yeye.html
Katika hali inayoshangaza msanii maarufu wa Bongo movie na Mziki wa mduara na Bongo Flava Shilole aka Shishi baby amesema yeye ni mwarabu wa Mascut na sio mtanzania kama tunavyofahamu.Akiwa Al Seeb Muscat ,Oman na mdada inaesadikiwa ni aunt yake alisema "kumbe siku zote nilikua njia panda kujua asili yangu,na huyo ndio aunt yangu kwa baba yangu nimefurahi sana kuonana nae leo kwake! I love my aunt,kumbe marehemu baba yangu alikua mwarabu tena wa mascut"
Tunavyojua enzi za mwalimu kulikua na waarabu wengi sana waliozamia Tabora kwa ajili ya shughuli za kijamii na kibiashara na walipofika pale walioa watanzania na kuchanganyika na watanzania na wakawa wanafahamika kwa jina maarufu la WAARABU KOKO, lilimaanisha 'SI WAARABU HALISI' kwa kipindi kile. Inawezekana ikawa kweli kua mpaka umri huo Shilole alikua hajitambuia asili yake na kuona kama u-Tanzania kwake ni njia panda.
Je una comment zozote ? Karibu uchangie kuhusu hili

Hapo anatupiga changa la macho watu kama shilole wapo wengi bongo wanaojipendekeza kwenye mataifa mengine pumbav
ReplyDelete