DISQUS SHORTNAME

Sababu ya THT Kutokung'araKweye Tuzo za KTMA Mwaka Huu

'HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA' NA MWENYE MACHO HAAMBIWI ONA,jana tumeshuhudia namna gani NGUVU YA UMMA inaweza kuleta mabadiliko...


'HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA' NA MWENYE MACHO HAAMBIWI ONA,jana
tumeshuhudia namna gani NGUVU YA UMMA inaweza kuleta mabadiliko tulishazoea,na ilikua kama kawaida sasa, MIAKA KADHAA ILIYOPITA UGAWAJI WA TUZO ZA KTMA ulikua unazingirwa na UTATA MKUBWA.lakini kubwa kulikoo ni pale vijana wa kutoka kundi la THT walipokua wananyakua
TUZO nyingi ambazo hawastahili.
We all know that RUGE na genge lake ndo alikua anawapa
zile tuzo.Hili liliwezekana kwasababu wao ndo walikua wanahodhi mchakato mzima na waoaa
ando walikua wanapendekeza majina na kuwakweka kwenye category mbalimbali..... Mwaka huu hali imekua tofauti kidogo kwani wananchi walipewa nafasi ya kupendekeza majina ya wasanii watakoaingia kwenye category mbalimbali.LAKINI PIA TUME YA KUSHUGHULIKIA MIPANGO YOTE YA UGAWAJI WA TUZO HIZI ILIKUA COMMITED KIDOGO TOFAUTI NA MIAKA MINGINE,,,hali hii imemewafanya AKINA RUGE NA MAGENGE YAKE KUSHINDWA KUPENYEZA VIBARAKA WAO WA THT kwenye KTMA. TEAM ANAKONDA......kwa kweli hili ni bao la kisigino,,kubali ukatae hili ni pigo kwa ruge na wenzake. kitendo cha LADY JAYDEE KUCHUKUA TUZO WAKATI MWANA FA HAJAPATA HATA MOJA NI PIGO KUBWA SANA. NB....nimefurahi sana FID Q KUCHUKUA TUZO

Related

STORY ZA KITAA 4816770874542903393

Post a Comment

  1. msilolijua ni kama usiku wa giza kama mnadhani hakuna mkono wake polee....

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item