DISQUS SHORTNAME

Producer wa Wimbo wa DiamondNumber 1 Alia na Waandaji waKTMA kwa Kumnyima Tuzo

Producer Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1 uliochukua Tuzo Nyingi katika Tuzo za Kilimanjaro Awards zilizofa...


Producer Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1 uliochukua Tuzo
Nyingi katika Tuzo za Kilimanjaro Awards zilizofanyika Juzi, Ameonyeshwa kukerwa Kwa
Kukosa Tuzo ya Producer Bora Wakati Wimbo huo Umechukua Tuzo Nyingi ikiwemo ya Wimbo
Bora , Amekaririwa akisema " Sasa ndugu zangu inakuwaje nisipewe tuzo ya Muandaaji bora wa
Music wakati Number one imekuwa mwimbo bora wa Mwaka..na imemfanya Diamond Apate
Tuzo Tano ?

Related

STORY ZA KITAA 2064548088040280966

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item