DISQUS SHORTNAME

ROSE NDAUKA KUFUNGA NDOA SOON???

Kuna kila dalili kuwa watoto wa Kiswahili  wakapata fursa ya kudandia pilau la harusi ya Rose Ndauka na Malick aka Chiwaman hivi karibuni...

Kuna kila dalili kuwa watoto wa Kiswahili  wakapata fursa ya kudandia pilau la harusi ya
Rose Ndauka na Malick aka Chiwaman hivi karibuni.
Rose Ndauka

Wakati ambapo tayari wapenzi hao wamejaaliwa  mtoto, kinachowakuna sasa ni kuhalalisha kabisa  mzigo na kuishi kama mke na mume waliofunda ndoa. Muigizaji huyo wa filamu ametumia mtandao wa Facebook kuelezea hamu yake ya kuvaa shela na kuapa mbele ya padre/mchungaji ‘Yes I do’.
“YES I DO———–mood am in,” ameandika
mrembo huyo.

Related

BONGO MOVIE 5806146968893821164

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item