DISQUS SHORTNAME

RACHEL KUZIKWA KESHO DAR

MSANII wa filamu Rachel Haule ' Recho ' aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya Songe...

MSANII wa filamu Rachel Haule ' Recho ' aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya Songea kama ilivyopangwa hapo awali . Ratiba ya kuuaga mwili wa marehemu
inabaki pale pale siku ya kesho Leaders Club na baadae kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinonondoni .

Related

BONGO MOVIE 8121665058831195448

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item