RACHEL KUZIKWA KESHO DAR
MSANII wa filamu Rachel Haule ' Recho ' aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya Songe...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/rachel-kuzikwa-kesho-dar.html
MSANII wa filamu Rachel Haule ' Recho ' aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya Songea kama ilivyopangwa hapo awali . Ratiba ya kuuaga mwili wa marehemu
inabaki pale pale siku ya kesho Leaders Club na baadae kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinonondoni .
inabaki pale pale siku ya kesho Leaders Club na baadae kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinonondoni .


ee mwenyez mungu mwangazie nuru yako
ReplyDelete