DISQUS SHORTNAME

PICHAZ: BONGO MOVIE WAKATI WAKIJIANDAA KWENDA MSIBANI BUNJU

TIMU ya wanachama wa Bongo movie leo imekutana kwa mara nyingine kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwaajiri ...

TIMU ya wanachama wa Bongo movie leo imekutana kwa mara nyingine kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwaajiri ya kujadiliana na kukamilisha baadhi ya vitu vinavyohitajika kwaajiri ya maandalizi ya kuuaga mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ambaye alipoteza maisha juzi kwa ugonjwa wa tumbo.
Baadhi ya wasanii hao wamekutana leo jioni katika viwanja hivyo na kwapamoja walipanda gari aina ya Toyota Coastal na kuelekea nyumbani kwao na marehemuTegeta Binju jijini Dar , kwaajili ya kujumuika na familia katika kuuaga mwili wa marehe kabla ya zoezi hilo kufanyika hapo kesho kwenye Viwanja vya Leaders Club na baadaye kwenda kuusitiri kwenye makaburi ya Kinondo jijini Dar . Akizungumza na Mtandao huu Makamu Mwenyekiti wa Bongo Movie Mahsen Awadhi Said ‘ DK .Cheni alisema kuwa wameamua kukutana hapo ili waweze kumalizia kujadilia baadhi ya mambo yaliyosalia na baadaye wapande gari la pamoja na kwenda Tegeta
Bunju kwaajiri ya kujumuika na familia ya marehemu hadi kesho watakapoambatana na mwili kurudi Leaders Club kwaajiri ya shughuli za kuuaga mwili na baadaye kwenda kuuthitiri kwenye makaburi ya Kinondini . “Tupo hapa kwaajiri ya kukamilisha baadhi ya maandalizi ya shughuli za kuuaga mwili wa marehemu hapo kesho , ingawa pia baada ya majadilia mafupi tutapanda gari la pamoja na kuelekea Tegeta Bunju kwaajiri ya kujumuika na familia ya marehemu hadi kesho tutakaporudi tena hapa kwaajiri ya
wadau na mashabiki kuuaga mwili na baadaye maziko kwenye makaburi ya Kinondoni jijini hapa , ” alisema DK .Cheni .

Related

BONGO MOVIE 600182791599585788

Post a Comment

  1. ILAKWAKWELI MIMI NIMESHINDWA KUMUELLEWA WEMASEPETU KABISAA.MBONA HAJAWEKA HATA RIP KWA PAGE YAKE YA INSTAR?INAMAANA NIKIBURI AU NIUOGA WA MISIBA?JAMANI MBONA MAREHEMU ALIKUWA MTU WAKE WAKARIBU ANAMSADIA MAMBO YA MOVIES?YAAN WATU WENGI KWELI TUNASHINDWA KUMUELEWA HASWA SIE FANS WAKE AMBAO HUWA TUNAMTETEA ANAPOTUKANWA NA ULE UPANDE WA TEAM MAVI NA BAADHIYAMADUI WAKE.WEMA TUSIPOKUONA MSIBANI JAPO UMESHIRIKI AU LAH UTATUSHANGZASAANA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona wema kaend msiban jaman?

      Delete
  2. Umeongea ukweli mtupu mdau sio kumtetea mtu kumbe kichwani maji kama hajaenda ataniskitisha mnooo

    ReplyDelete
  3. Yani napita kila nahali panaponukia huu msiba ila Wema ckuoni,uko London na Chibu n network hupati au hujickii2 kwenda msibani wala kupost??Mi ctaki kukulaumu sasa ila najaribu kuwaza2

    ReplyDelete
  4. Still waitn wema to appear,i lyk her but nisipo muona i will wonder.

    ReplyDelete
  5. OMG Wema usipokwenda utatusononesha fans wako

    ReplyDelete
  6. Ila watu sijui mpoje kwani pic kwenye page ndio kuguswa sana msiba au mbona mnapenda kuongea ovyo kma mmekunywa maji ya chooni loh ni wangap hawakuweka pic kwenye page zao wema alipofiwa na baba yake lkni msibani walienda hv kwa akili zenu zilivyofupi kma funza mnadhani wema hatamzika Adam au hajaudhuria kwenye msiba? Tumewachoka bana wema wema hatupumui anawapa joto hasira kila kukicha

    ReplyDelete
  7. Kwani wema ni sanda?? Kwamba asipoenda hatozikwa... Au wema ni jeneza?? Au wema ni msalaba wenye jina la adam... Kwani wema alipofiwa adam alienda?? Kama alienda mlimuona? Nyie mnahudhuria msiba au mmeenda kukutana na wema?? Kama mnachokifuata msibani ni wema basi mna haki ya kulalamika ila kama mnachofata msibani ni kutoa faraja kwa familia ya marehemu na kumuaga marehemu na mmeenda hao mkawakuta afu bado mnalalamika i am happy to call you stupid... Kama wema ndiye ameshikilia maiti hivyo mnataka aje maana akifika anafika na maiti endeleeni kulalamika... Wema endelea kujificha hivyo hivyo na kama vipi usipost chochote kuhusu huo msiba ili wakome.... Watu utafikiri ndo diary ya wema... Kwani hiyo si ni bongo movie na wema si hayupo bongo movie sasa mnataka mmuone kwebye vikao kwa ajili ya nini?? Acheni kujifanya nyie mamake mzazi na wema... Ina maana ndugu zake hawaoni anachokifanya ili wamsahihishe... Manager wake haoini ili hamsahihishe... Watu wenyewe hata hamfahamiki na huyo wema lakini ndo mnajifanya kumjua hadi kufikia kumuonya kwa baya analolifanya... Hebu nendeni msibani kwa ajili ya kutoa pole na faraja kwa wafiwa na sio kuchunguza wema kaja au hajaja.....

    ReplyDelete
  8. Kwan wema ni nan?kwan asipoweka ndo hajaguswa?mbna mnaongea ushamba na utoto?tatzo elim au nn?pepo ya adam haitegemei RIP ya mtu inategemea na matendo yake tu basi,grow up guys

    ReplyDelete
  9. Nyota ya Wema jamani duh waende wooote bila Wema bado hongera mummy sio kosa loa wala lako nyota Kali mvuto uliono ndio tatizo

    ReplyDelete
  10. Na hao wanaokaa kumsubiri wema wanashida kila kitu wema ,,heee mwacheni dada wa watu kwani lazim kila msanii aweke picha ,,au mmetafuta kwenye kila page ya msanii amemweka huyo adamu acheni kumkosesha amani dada wa watu na yy kaguswa sio adi aweke picha ,,,tena mnyamaze....,,,,r.i.p adamu kuambiana

    ReplyDelete
  11. Hamumsemi Skyner jana amekesha anapost yupo qbar mnamsema wema jamani, haya naona mmefurahi mmeona picha zake akiwa msiban, realy mlidhani hana wema kiasi hicho!!! nimempenda zaidi kwa alichofanya huwezi kua in shork ukagoogle picha na kushusha ujumbe ka ulishajua atakufa.

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item