Wanawake wataka mapadrewaruhusiwe kuoa
Wanawake hao 26 kutoka Italy na maeneo mengine wanasema kwamba wamekuwa wakishiriki ama wanataka kushiriki katika uhusiano wa kimapenzi n...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/wanawake-wataka-mapadre-waruhusiwe-kuoa.html
Wanawake hao 26 kutoka Italy na maeneo mengine wanasema kwamba wamekuwa wakishiriki ama wanataka kushiriki katika uhusiano wa kimapenzi na mapadre na kwamba wametoa ombi hilo kwa niaba ya wanawake wengine ambao wako katika hali kama hiyo.
Barua hiyo inazungumzia kuhusu uchungu wa
kushindwa kuishi maisha yao kikamilifu mbali na kutaka kukutana na papa Francis. Papa Francis amekuwa akiunga mkono utamaduni wa useja,lakini mwaka 2010 aliandika akisema kuwa huenda msimamo wake
ukabadilika. Papa francis amekuwa akimtembelea mjane wa aliyekuwa kasisi Jeronimo Podesta ambaye
alijiuzulu katika utumishi wake na kuoa, zaidi ya miaka 40 iliopita.


ni bora Kuliko wanavyozini na kumdanganya Mungu.n
ReplyDelete