DISQUS SHORTNAME

Picha:Rachel Haule kuzikwakesho, ataagwa Leaders Club, kajala, wema, aunty ezekiel wote waonekana msibani

Msanii wa filamu Rachel Haule aliyefariki usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam anatarajiwa kuagwa sik...


Msanii wa filamu Rachel Haule aliyefariki usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam anatarajiwa kuagwa siku kesho Alhamis katika viwanja vya Leaders Club na kuzikwa siku hiyohiyo katika makaburi Kinondoni.
Steve Nyerere akijadili jambo na wasanii wenzake Akizungumza na Bongo5 jana mwenyekiti wa bongomovie Steve Nyerere amesema kuwa bado wapo kwenye mikakati ya kukusanya michango itakayosaidia shughuli hiyo. “Tulikuwa tunachangishana pesa ili kuwezesha suala la msiba,tunashukuru Mungu mambo yameenda salama, suala la kuaga ,tutaaga siku ya alhamisi pale Leaders na baada ya hapo tutaelekea katika makaburi ya Kinondoni kwenda kumzika ndugu yetu, “alisema.

Related

BONGO MOVIE 8341846024025009661

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item