Kweli kuwa muislam ni neema kubwa dini inakataza kumdalilisha maiti kuagwa simbaya ila kwa familiya tena makosa kumpiga picha yaani inaskitisha kwakweli mungu ampe wepesi anapo kwenda awape subira familiya wote
Acheni upuuzi.... Maiti inadhalilishwaje?? Mngeongea suala la kuweka maiti mtandaoni lakisi sio suala la kuwa muislam ni neema kwa sababu hutodhalilika ukifa.. Kwani waislam wanokufa kwenye maajali na wanatangazwa so kama walikuwa ni watenda mema uislamu wao unapotea??? Kuna watu huwa mnajifanya uislam mnaujua kuliko hata mtume mwenyewe wakati mkijakuangaliwa ni waislam wa ramadhani mpaka ramadhani... We ungekuwa muislamu safi kwenye mitandao unatafuta nini kwa nini usishinde kwenye redio na mitandao ya kiislam... Umemjuaje kama sio fun wa usipojipanga instagram... Msijifanye watakatifu kuliko utakatifu wenyewe... Toeni marekebisho ila sio kwa kuponda dini za wengine ili yenu ionekane ya maana... Acheni kutumia nguvu kuifanya watu wakubali wakati wenzenu wanatumia nguvu kuielewa dini zao wenyewe bila kujali wengine wanaamini nini... Mnaboa kweli baadhi ya waislam jina... Maana waislam wa kweli ni watu wenye mioyo mikuu tunawajua.. Sio nyie wakunyooshea wenzenu vidole.. Wakati nyie wenyewe washenzy namba moja.... Wewe kama unaupenda uislam ukiona tukio hujalipenda kahubiri kwa waumini wako msikitini au kwenye maeneo yenu ya kujidai....
kuna baadhi ya waislamu wanajifanya watakatifu dunia nzima...mnatumia mda mwingi kuponda dini za wenzenu badala ya kushika yenu, yani hadi kwenye mihadhara mnabeba Biblia yetu na kuidiscuss inahusu nini? waislamu change your attitude fanyeni yenu bila kuingilia wenzenu plz...FREEDOM OF WORSHIP.
Kwan hao wachanguaji wameponda dini? Soma uelewe point sio kuchangia kitu kisicho kua chenyewe..mbona ni kitu rahis kuelewa dah..ndo maana watu hufeli kwa kwel
kabsa wanapashau za kujaji dini ya kikristo utadhani wanalipwa .wew soma yako ishi n imani yako sasa kulingania vitabu viwili vinakuhusu nini mara kuteka watoto kuwabadili dini mahijab juu inahusu kila mtu anaimani yake iweje uniforce na kunibadili dini bila kutaka sasa hapo wee unafaidika na nini uwiiiii shule muimu sanaa
ndo maana kasema samahani mwanzo wa story. ss uli2mwa kuja kuview?? blah blaa mingi na dini tumeletewa. kila m2 astand n imani yake, km nyie waislam hamuagi sawa ila ce wakristo hua tunaaga na tunapga mpk picha
RIP,daah
ReplyDeletePole sana
DeleteMungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon Amina
ReplyDeleteRest in peace adam
ReplyDeleteAiseyeee inauma sanaaaa r I p
ReplyDeleteR.I.P kuambiana
ReplyDeleteR I P
ReplyDeleteHuu niudhalilishaji ndiyo maana dini ya kiislaam inakatazwa mambo ya kuagwa zaidi ya familia. Pole saana marehemu
ReplyDeleteudhallishwaji uko wap nawe???? stupid
Deletewewe neysha keys ndo stupid wewe ukifa utapenda unikwa kila mtu akuone...!!!!
DeleteKweli kuwa muislam ni neema kubwa dini inakataza kumdalilisha maiti kuagwa simbaya ila kwa familiya tena makosa kumpiga picha yaani inaskitisha kwakweli mungu ampe wepesi anapo kwenda awape subira familiya wote
ReplyDeleteAcheni upuuzi.... Maiti inadhalilishwaje?? Mngeongea suala la kuweka maiti mtandaoni lakisi sio suala la kuwa muislam ni neema kwa sababu hutodhalilika ukifa.. Kwani waislam wanokufa kwenye maajali na wanatangazwa so kama walikuwa ni watenda mema uislamu wao unapotea??? Kuna watu huwa mnajifanya uislam mnaujua kuliko hata mtume mwenyewe wakati mkijakuangaliwa ni waislam wa ramadhani mpaka ramadhani... We ungekuwa muislamu safi kwenye mitandao unatafuta nini kwa nini usishinde kwenye redio na mitandao ya kiislam... Umemjuaje kama sio fun wa usipojipanga instagram... Msijifanye watakatifu kuliko utakatifu wenyewe... Toeni marekebisho ila sio kwa kuponda dini za wengine ili yenu ionekane ya maana... Acheni kutumia nguvu kuifanya watu wakubali wakati wenzenu wanatumia nguvu kuielewa dini zao wenyewe bila kujali wengine wanaamini nini... Mnaboa kweli baadhi ya waislam jina... Maana waislam wa kweli ni watu wenye mioyo mikuu tunawajua.. Sio nyie wakunyooshea wenzenu vidole.. Wakati nyie wenyewe washenzy namba moja.... Wewe kama unaupenda uislam ukiona tukio hujalipenda kahubiri kwa waumini wako msikitini au kwenye maeneo yenu ya kujidai....
DeletePointless
Deleteinalillah wainnalillah rajiuun,ingekuwa busara zaidi kama hii picha ungeitoa, r.i.p Adamu
ReplyDeleteAcheni mambo ya kisenge usilamu uisilamu kwani zingine sio dini bitch
ReplyDeleteBitch..where dd I say zingine sio dini?..do you take time to read and understand..y ou dont know what ur sayn..just shut up
DeleteSorry ila wew ni double bitch na tuondolee bosho 😂😂mawaidha yako unajua pakupeleka mfinyuuuuu
DeleteWe nae ndo nn kuweka pic za marehemu mtandaoni? Acha ujinga na kulewa sifa zisizo na faida
ReplyDeleteWanamdhalilisha kwani yupo uchi? Achen ujinga nyie waisilam bado mpo huko 2??
ReplyDeleteJamani kwani yupo uchi? Wapi walisema picha ya maiti ni udhalilishaji?
ReplyDeleteIla Kweli kabisa maiti kuoneshwa hadharani haijakaa poa tukiachilia mbali dini na vinginevyo naona sio poa
ReplyDeletekuna baadhi ya waislamu wanajifanya watakatifu dunia nzima...mnatumia mda mwingi kuponda dini za wenzenu badala ya kushika yenu, yani hadi kwenye mihadhara mnabeba Biblia yetu na kuidiscuss inahusu nini? waislamu change your attitude fanyeni yenu bila kuingilia wenzenu plz...FREEDOM OF WORSHIP.
ReplyDeleteKwan hao wachanguaji wameponda dini? Soma uelewe point sio kuchangia kitu kisicho kua chenyewe..mbona ni kitu rahis kuelewa dah..ndo maana watu hufeli kwa kwel
Deletewew ndio wakwanza ungepata buyu yeye katoa maoni yake kutokana n comments za juu unapurukuka
Deletekabsa wanapashau za kujaji dini ya kikristo utadhani wanalipwa .wew soma yako ishi n imani yako sasa kulingania vitabu viwili vinakuhusu nini mara kuteka watoto kuwabadili dini mahijab juu inahusu kila mtu anaimani yake iweje uniforce na kunibadili dini bila kutaka sasa hapo wee unafaidika na nini uwiiiii shule muimu sanaa
Deletewote ovyo.kajamben huko.
ReplyDeletendo maana kasema samahani mwanzo wa story. ss uli2mwa kuja kuview?? blah blaa mingi na dini tumeletewa. kila m2 astand n imani yake, km nyie waislam hamuagi sawa ila ce wakristo hua tunaaga na tunapga mpk picha
ReplyDelete