PENDEKEZA MAJINA SASA ! TUZO ZA WATUTANZANIA
1. Mtangazaji wa redio anayependwa – Andika TZW1, andika jina lake kwenda 15678 au kupendekeza kupitia website www.tuzozetu.com 2. Kip...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/pendekeza-majina-sasa1-tuzo-za-watu.html
1. Mtangazaji wa redio anayependwa – Andika TZW1, andika jina lake kwenda 15678 au
kupendekeza kupitia website www.tuzozetu.com
2. Kipindi cha redio kinachopendwa - Andika TZW2, andika jina la kipindi kwenda 15678 au
kupendekeza kupitia website www.tuzozetu.com
3. Mtangazaji wa runinga anayependwa Andika TZW3, andika jina lake kwenda 15678 au
kupendekeza kupitia website www.tuzozetu.com
4. Kipindi cha runinga kinachopendwa - - Andika TZW4, andika jina la kipindi kwenda 15678 au
kupendekeza kupitia website www.tuzozetu.com
5. Mwanamichezo anayependwa - - Andika TZW5, andika jina lake, kwenda 15678 au kupendekeza
kupitia website www.tuzozetu.com
6. Muongozaji wa video za muziki anayependwa - Andika TZW6, andika jina lake, kwenda 15678 au
kupendekeza kupitia website www.tuzozetu.com
7. Video ya muziki inayopendwa ya mwanamuziki wa kiume - Andika TZW7, andika jina la video hiyo,
kwenda 15678 au kupendekeza kupitia website
www.tuzozetu.com
8. Video ya muziki inayopendwa ya mwanamuziki wa kike - Andika TZW8, andika jina la video hiyo,
kwenda 15678 au kupendekeza kupitia website
www.tuzozetu.com
9. Filamu inayopendwa - Andika TZW9, andika jina la filamu, kwenda 15678 au kupendekeza kupitia
website www.tuzozetu.com
10.Msanii wa kike kwenye filamu anayependwa - Andika TZW10, andika jina lake, kwenda 15678 au
kupendekeza kupitia website www.tuzozetu.com
11. Msanii wa kiume kwenye filamu anayependwa - Andika TZW11, andika jina lake, kwenda 15678 au
kupendekeza kupitia website www.tuzozetu.com

Kwan filam ya madame hmetoka lini? Km vp tumpigie kura kamanda tuwaonyeshe kuwa wema mtu wa watu ana damu ya kupendwa na ana mashabik kweli. Pil hi itasaidia kumpa morali ya kufanya kaz zaid au unasemaje mwenyekiti
ReplyDelete