DISQUS SHORTNAME

"PANYA ROAD" WATIWA MBARONI!..vigodoro marufuku

Jeshi la polisi kanda maalum ya DSM, limewakamata vijana 155 wanaosadikiwa kuunda kundi la uhalifu lijulikanalo kwa jina la “PANYA ROAD...


Jeshi la polisi kanda maalum ya DSM, limewakamata vijana 155 wanaosadikiwa kuunda kundi la uhalifu lijulikanalo kwa jina la “PANYA ROAD” na kupiga marufuku ngoma za 'VIGODORO” kwa madai kuwa vijana hao hujificha katika ngoma hizo. Je, unapendekeza "PANYA ROAD" wapewe adhabu gani ili makundi kama haya yasijitokeze tena? TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI

Related

STORY ZA KITAA 2548167461377934037

Post a Comment

  1. Wapewe adhabu Kali kama walivyokuwa wanawafanyia wananchi tena iwaume hiyo adhabu ili owe fundisho wakatwe mikono yao bila huruma

    ReplyDelete
  2. Wauliwe kabla yakuwa wakubwa cz wakiachiwa aooo jamani tutakuwa kama Congo au nigeria

    ReplyDelete
  3. Hio ni noma sana aisee wanahitaji kuchukuliwa hatua kali sana ikishindikana hata kuuliwa, kwani nakumbuka miaka flani kulikuwa na kundi kama hilo lilikuwa likijiita KOMANDO YOSO lilitesa sana wananchi.

    ReplyDelete
  4. Wakipewa adhabu kali itakuwa fundisho kwa magrp mengine...wawe serious kwa kweli nasio maneno mengi as usual...

    ReplyDelete
  5. Watiwe adhabu kali sana na kifungo cha maisha

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item