"PANYA ROAD" WATIWA MBARONI!..vigodoro marufuku
Jeshi la polisi kanda maalum ya DSM, limewakamata vijana 155 wanaosadikiwa kuunda kundi la uhalifu lijulikanalo kwa jina la “PANYA ROAD...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/panya-road-watiwa-mbaronivigodoro.html
Jeshi la polisi kanda maalum ya DSM, limewakamata vijana 155 wanaosadikiwa kuunda kundi la uhalifu lijulikanalo kwa jina la “PANYA ROAD” na kupiga marufuku ngoma za 'VIGODORO” kwa madai kuwa vijana hao hujificha katika ngoma hizo.
Je, unapendekeza "PANYA ROAD"
wapewe adhabu gani ili makundi kama haya yasijitokeze tena? TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI


Wapewe adhabu Kali kama walivyokuwa wanawafanyia wananchi tena iwaume hiyo adhabu ili owe fundisho wakatwe mikono yao bila huruma
ReplyDeleteWauliwe kabla yakuwa wakubwa cz wakiachiwa aooo jamani tutakuwa kama Congo au nigeria
ReplyDeleteHio ni noma sana aisee wanahitaji kuchukuliwa hatua kali sana ikishindikana hata kuuliwa, kwani nakumbuka miaka flani kulikuwa na kundi kama hilo lilikuwa likijiita KOMANDO YOSO lilitesa sana wananchi.
ReplyDeleteWakipewa adhabu kali itakuwa fundisho kwa magrp mengine...wawe serious kwa kweli nasio maneno mengi as usual...
ReplyDeleteWatiwe adhabu kali sana na kifungo cha maisha
ReplyDelete