DISQUS SHORTNAME

NORA AWALALAMIKIA BONGO MOVIE

MWANADADA wa ‘long time’ kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia z...

MWANADADA wa ‘long time’ kwenye sanaa ya
uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada
ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na
tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike
wa Bongo Movie.
Msanii Nora.
Akipiga stori na paparazi wetu, Nora alisema
amekuwa akitembelea katika ofi si mbalimbali
na kila anapojitambulisha kwamba ni msanii wa
fi lamu watu wanashtuka na sehemu nyingine
anakosa dili za maana kutokana na uchafu wa
baadhi ya wasanii hasa wasagaji na wanaojiuza.

“Yaani naona aibu sana kujitambulisha kwenye
ofi si za watu kwani kila ninakoenda na
kujitambulisha watu wanaanza kunong’ona huku
wakidai kwamba wasanii wa kike wa fi lamu
wana tabia chafu wakati tunachafuliwana watu
wachache tu wasiojiheshimu,” alisema Nora.

Related

BONGO MOVIE 8604087956845691510

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item