DISQUS SHORTNAME

Ni Diamond tena… sasa hivi amechaguliwa kwenye hizi tuzoza BET Marekani.

Ilikua stori kubwa pale Diamond Platnumz alipotangazwa kushiriki kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards) kikiwa ni kituo kingine kikubwa ch...


Ilikua stori kubwa pale Diamond Platnumz alipotangazwa kushiriki kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards) kikiwa ni kituo kingine kikubwa cha burudani Afrika.
Leo hii Diamond Platnumz ameingia kwenye stori nyingine kubwa ya dunia baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za Television kubwa ya Marekani ya BET ambapo yupo kwenye kipengele cha wanaogombea  BEST INTERNATIONAL ACT AFRICA.
Anaigombea hiyo tuzo na Davido wa Nigeria, Mafikizolo wa South Africa, Tiwa Savage wa Nigeria, Toofan na Sarkodie wa Ghana. the OFFICIAL # BETAwards # BestIntlActAfrica nominees 2014!…BET kupitia page yao ya twitter waliandika kuthibitisha kuchaguliwa kwa Diamond na kumpongeza akiwa pia ni msanii pekee wa Afrika Mashariki kwenye tuzo hizi za mwaka huu.

Related

BONGO FLAVA 5976048760335298392

Post a Comment

  1. Hongera sana rais wa wasafi diamondplatinumz..haters mtatoka jasho mwaka huu..

    ReplyDelete
  2. Haya unayejiita tajiri Prezzo mbona hujachaguliwa na hapa utasema nini wewe mtoto wa mama...

    ReplyDelete
  3. Competition ni kuwa but I hope wa kwetu ashinde

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item