DISQUS SHORTNAME

MWILI WA KUAMBIANA KUAGWAJ’TATU NA J’ NNE DAR

Mke wa marehemu Adam Kuambiana , Janeth  Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi  akifarijiwa. Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani  ...


Mke wa marehemu Adam Kuambiana , Janeth  Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi  akifarijiwa. Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani  Bunju B , Dar .  Msiba upo hapa Bunju B .
MWILI wa Mwigizaji na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana utaagwa  kesho Jumatatu nyumbani kwake Bunju B ,  Dar na siku ya Jumanne asubuhi utapelekwa  Viwanja vya Leaders kuagwa na mashabiki  wake. Taarifa hizi zimetolewa na mke wa marehemu, Janeth Rithe ambaye ni Diwani  wa Kata ya Kunduchi ( Chadema)!

Related

ZILIZOTUFIKIA 9191098871545688803

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item