DISQUS SHORTNAME

MPOKI :KAULI TATA NA MISEMOYAKE ILIYOWAKONGA NYOYOMASHABIKI WALIOHUDHURIAKATIKA YUZO ZA KILI

Ukiachana na burudani kutoka kwa wanamuziki mbalimbali kwenye hafla ya kukabidhi tuzo za muziki za Kilimanjaro, burudani zaidi ilikuwa ni...


Ukiachana na burudani kutoka kwa wanamuziki mbalimbali kwenye hafla ya kukabidhi tuzo za muziki za Kilimanjaro, burudani zaidi ilikuwa ni maneno kutoka kwa MC ambaye pia ni mwigizaji sanaa ya vichekesho Mpoki ambaye alikuwa anawakonga nyoyo waliohudhuria kwa kauli zake tata
ambazo zilikuwazinawavunja mbavu.   Na hizi ni baadhi ya kauli na misemo ambayo iliwavunja watu mbavu.

Tusiaandikie penseli wakati penny aliyekuwa wa Diamond yupo. Kama usiku wa jana ulilala na haukuota basi leo lala na mbolea utaota. Big up kwa wasichana wote ambao wamevaa vimini kwa sababu walijua
kuwa mlimani city hakuna mbu, ahsante sana kwa kwenda na wakati. Wema mamaa magazeti Kuchuna buzi na kuchanganya mabwana ni kipaji pia Ukiona panya anakatisha katisha sebuleni ujue anataka kujulikana. Kirefu cha HIV ni Hatari  Imeingia Vitandani. Hivi ukiwa mcheza shoo lazima ujichubue?
Na mimi pia ni dokta lakini wa magonjwa ya kike

Related

STORY ZA KITAA 5994282412626092479

Post a Comment

  1. Tulifurah bt aliboa smtme mambo ya mitaan ya nin sehem kubwa kma ile

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item