DISQUS SHORTNAME

MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI

MMILIKI wa timu ya Manchester United , Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 . Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekan...


MMILIKI wa timu ya Manchester United , Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 . Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani . Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na shilingi trioni 2.2 na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England .

Related

KWINGINEKO DUNIANI 6247724597238690504

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item