MASANJA ANASWA AKICHATIMUDA WA MAOMBI
MSANII mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili , Emmanuel Mgaya ‘ Masanja ’ amenaswa akichati kwenye simu wakati viongozi wa d...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/masanja-anaswa-akichati-muda-wa-maomb.html
MSANII mahiri wa komedi ambaye pia ni
Mwimbaji wa Injili , Emmanuel Mgaya
‘ Masanja ’ amenaswa akichati kwenye simu
wakati viongozi wa dini wakishusha maombi
mazito .
Msanii mahiri wa komedi ambaye pia ni
Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya
Tukio hilo lililowachefua baadhi ya waumini
lilitokea hivi karibuni katika Uwanja wa Shule
ya Msingi Saba Saba , mjini Moro ambapo
Masanja aliyekuwa meza kuu, wakati
wenzake wakiongoza sala ya kufungua
kongamano hilo, yeye alikuwa bize na simu.
Kitendo hicho kilidumu kwa dakika kadhaa
kisha staa huyo ambaye pia ana ndoto ya
kuwa mchungaji mkubwa nchini , akajiunga na
wachungaji wengine waliokuwa meza kuu
kuendelea na sala .

Huuu nae kuokoka kwakwe hata sielewi
ReplyDelete